Sera ya elimu ya 2014

Utekelezaji Wa Sera Ya Elimu Ya Mwaka 2014


Serikali ina mpango gani wa kutekeleza sera ya elimu ya mwaka 2014 bila kuathiri elimu bora ikiwemo utoaji wa elimu bure?Haba na Haba Dakika Tatu Sera ya Elimu 2014 Elimu BureHaki Elimu Yabaini Changamoto Katika Sera Mpya Ya Elimu Ya Mwaka 2014


Taasisi isiyo ya kiserikali ya Haki elimu imesema sera mpya ya elimu iliyoinduliwa mwaka 2014 imeshindwa kufafanua ni jinsi gani itahakikisha uwepo wa elimu...Haba na Haba Mdahalo Sera ya Elimu 2014 Ada Bure


Haba na Haba inaangalia tamko la sera mpya ya elimu na mafunzo ambayo kipengele kinazungumzia elimu bila ada katika ngazi ya elimu msingi nchini...Makala ya Rais Kikwete alipozindua rasmi sera mpya ya elimu ya mwaka 2014

Makala hii ni ya Uzinduzi wa sera Mpya ya Elimu Uliofanyika Februari 13, 2015 Katika shule ya Sekondari Majani ya Chai Kipawa jijini Dar es salaamLugha Ya Mama Shuleni?


Ni miaka 38 tangu kuwepo kwa sera ya kuwataka walimu kufunza wakitumia lugha ya kwanza. Hata hivyo duru zaarifu kuwa wizara ya elimu imetoa amri kwa...Rais azungumzia sekta ya elimu
Waziri Mkuu aiagiza wizara ya elimu kushughulikia changamoto za elimu.


Waziri mkuu Mizengo Pinda ameiagiza wizara ya elimu kufunga mkanda na kushughulikia tatizo la upungufu mkubwa wa madawati na changamoto...Watoto Waonyesha Sanaa TBC Sera ya ElimuMakadrio ya Bajeti


Serikali imewasilisha rasmi bungeni makadirio ya bajeti ya mwaka 2013/2014. Bajeti hiyo ya zaidi ya shilingi trillioni 1.23 inajumuisha wizara 18 zilizobuniwa...